Saturday 8 February 2014




Baba Mzazi wa Jeska Kikumbi Maarufu kama King Kikii






Hapa wanakijiji wakiwashangaa Jeska na shoga yake wakipiga picha za kuonesha maungo yake huku kavulana kakificha uso wake.


Na Mwandishi wa Xdeejayz Mwanza
Yule bint wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii ameendelea kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya kurusha hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena mtoni huko Kijijini Mwanza.
Xdeejayz kama kawaida yake imefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye accont ya Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe na kuchukulia kawaida sana.
Hata hivyo kwa mujibu wa chanzo chetu picha hizo ambazo kama zinavyooneka wamepiga kwa hiyari wao wenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila kujitambua la hasha na walidhamilia kufanya hivyo.
Jeska ambae kwenye Account yake ya Facebook anatumia jina la King Kikii Dota alizimwaga picha hizo ili zisambae makusudi" Hata hivyo hali halisi wananchi wanaonekana kushangazwa na tukio hilo huku watoto wadogo nao wakishuhudia video hiyo ya bure
Mtandao huu ulifanya jitahada za kumtafuta msichana huyo kupitia simu yake ya kiganjani lakini hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani.
Xdeejayz kushirikiana na watanzania wanaoitakia mema nchi tuna lani vikali vitendo vya kuidhalilishaji vinavyofanywa na wasichana hao tena kwa makusudi na tunasisitiza sisi kama chombo cha habari kuwa hali hiyo haikubariki na inapaswa kupingwa kwa nguvu zote.

TAARIFA: Blog hii haihusiki na kupiga picha za wahusika wote wanaoripotiwa humu na mara nyingi picha hizi husambazwa na wahusika wenyewe hivyo tunaomba jamii na wasomaji wetu watuelewe hivyo kuwa Xdeejayz haiko kwa ajili ya kudhalilisha bindamu la hasha basi bali tunathubutu kutoa habari hizi na picha za ushahidi ili kuonesha tunapinga vitendo hivyo na wanaoruhusiwa kutizama blog hii ni wale walizidi miaka kumi na nane tu.

0 comments:

Post a Comment